Magawa, whose official job title is HeroRAT, was awarded his medal by PDSA’s Director General in a special virtual presentation. In Tanzania at Sokoine University of Agriculture a charity called APOPO have been training rats to detect landmines since the early 1990s. Even today, it’s estimated that there are still 80 million landmines around the...Read More
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens Luoga atembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) ambapo Kituo Cha Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu kinaonyesha tafiti na teknolojia mbalimbali na kukipongeza kituo kwa tafiti wanazozifanya kuwa na manufaa kwa jamii na Taifa kwa ujumla. Aidha Gavana amesema ipo haja ya serikali kuwawezesha...Read More
Maonyesho ya kilimo, mifugo na uvuvi kitaifa yamefunguliwa rasmi na Makamu wa Raisi Mhe Mama Samia Suluhu Hassan mkoani Simiyu. Maonyesho haya yamekuja na kauli mbiu inayosema “Kwa maendeleo ya Kilimo ,Mifugo na Uvuvi chagua viongozi bora 2020”. Aidha Makamu wa Raisi ameipongeza wizara ya kilimo na uvuvi kwa kujenga jingo la kudumu katika viwanja...Read More
Watafiti wa Mradi wa Kituo Mahiri cha Teknologia bunifu za udhibiti wa panya na uendelezaji wa teknolojia za unusaji kushirikiana na washirika wake kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na nchi mbalimbali wamekutana ARUSHA kwenye mkutano wa mwaka kujadili maendeleo ya mradi. Mkutano unafanyika kwenye Taasisi ya sayansi na teknolojia kuanzia tarehe 4...Read More
[metaslider id=”3961″] Watafiti kutoka Kituo cha Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu wamegundua njia ya kudhibiti panya kwenye mashamba na nyumbani kwa kutumia MKOJO WA PAKA. Lengo la utafiti huo ni kupunguza matumizi ya kemikali na kuongeza ufanisi katika kupunguza athari zitokanazo na panya. Kutokana na uwezo wa mkojo wa paka kufukuza panya ndani ya nyumba na...Read More
Katika kuboresha huduma ya kubaini vimelea vya kifua kikuu na afya ya jamii kwa ujumla, Kituo cha Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu kikishirikiana na asasi ya kibelgiji ijulikanayo kama APOPO, wameweza kugundua ufanisi mkubwa wa panyabuku katika kubaini vimelea vya kifua kikuu ikilinganishwa na hadubini.Read More
TANGAZO Mkurugenzi wa kituo cha utafiti na udhibiti wa viumbe hai waharibifu (SUA Pest Management Centre) kilichopo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro, anawatangazia kuwa kituo kinatoa fursa ya wabunifu wa Teknolojia mbalimbali za udhibiti wa viumbe hai waharibifu kuonana na watafiti wake. Teknolojia inayokidhi vigezo, itafanyiwa majaribio ya Kisayansi kwa lengo...Read More