[metaslider id=”4661″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Mikoa ya Pwani na kanda kusini ikiwa ni mwendelezo wa ziara za kitafiti ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. Watafiti hao Prof. Apia Massawe na Prof. Loth Mulungu wamesema ziara hii imelenga...Read More
[metaslider id=”4649″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, SUA, wanaendelea na tafiti mbalimbali Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Vijijini, Kata ya Isimani, Kijiji cha Kising’ha. Utafiti unafanyika katika Kituo cha Majaribio ya Kilimo cha Uyole ikiwa ni mwendelezo wa tafiti mbalimbali zinazofanywa na taasisi hii. Udhibiti ulioanzishwa unalenga kupunguza panya waharibifu kwenye mashamba...Read More
[metaslider id=”4631″] Watafiti kutoka Taasisi Ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara katika Bandari Ya Kemondo Mkoani Kagera ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kutafuta maendeo ya kufanyia tafiti katika mikoa ya kanda ya ziwa. Watafiti hawa walipokelewa na Afisa wa Bandari ya Kemondo Bw. Titus Majula na kupewa historia fupi ya bandari ya...Read More
[metaslider id=”4611″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA na Kituo Cha Umaahili cha Afrika cha Kutafiti Mbinu na Tekinologia za Kudhibiti Panya wamefanya ziara ya kiutafiti katika mikoa ya kanda ya ziwa ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. . Watafiti hao Prof. Apia Massawe na...Read More
Mr. Clement Pangapanga dedicated 32 years of service with honour as a senior Laboratory Assistant at Sokoine University of Agriculture You couldn’t stay for a short or long period at the SUA Pest Management Centre without noticing the presence of a slightly thin guy, with receding hair on his head and a beard under the...Read More
[metaslider id=”4598″] Mkurugenzi wa Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, Dkt. Ladslaus Mnyone ahamasisha wafanyakazi wa Taasisi na Nchi kwa ujumla kupokea huduma ya chanjo ya Uviko wa 19 kwa moyo mmoja na amani ili kuhakikisha afya njema katika kupambana na kirusi cha uviko wa 19. Ameyasema hayo baada ya kupata chanjo hiyo katika Hospitali...Read More
[metaslider id=”4584″] One among PhD students beneficiary of ACE IRPM & BTD, Dr. Amina Ramadhan Issae at the Institute of Pest Management starts data collection for her PhD research earlier on July 2021 in Ngorongoro district. Dr. Issae’s PhD studies is sponsored by ACE IRPM& BTD under the Institute of Pest Management in Sokoine University...Read More
[metaslider id=”4554″] Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu wameanza kufanya tafiti katika vijiji vya Mkula, Msufini ,Sonjo na Katulakila katika Kata ya Mkula Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro. Tafiti za awali zimelenga kuangalia ni aina gani ya panya wanaopatikana katika vijiji hivi na aina gani ya vimelea vya magonjwa vinavyobebwa kwenye miili...Read More
The story of transformation from a tiny Belgian Government supported research project on “Rodents as disease carriers and crop destroyers” between 1986 -1989 that led to formation of the “Rodent Research Project” in 1990, “SUA Pest Management Centre” in 2000 and now “Institute of Pest Management” in 2021 is one of the most impressive academic...Read More
Wadau kutoka Wizara ya Afya watembelea Taasisi yetu tarehe 16 July 2021. Lengo kuu ni kuendelea kudumisha uhusiano na kushirikiana katika teknolojia ya Panyabuku kwenye kubaini vimelea vya ugonjwa wa Kifua Kikuu. Katika mazungumzo hayo Wizara imeahidi kufuatilia agizo la Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi alilotoa tarehe 26 Februari 2021 alipotembelea mradi wa...Read More