Rats have the best sense of smell, probably more than any other species of mammals. This is something that helps them to avoid predators and other natural enemies. Because of the relatively poor sight, particularly in the dark, being able to sniff the volatile substances emitted by different natural enemies enables them to run and...Read More
Human actions are continuously degrading natural landscapes. Growing evidence shows that this degradation is directly linked to the risk of zoonotic spillover, resulting in the appearance of infectious diseases. However, there is increased recognition that humans can and should also improve degraded landscapes. RESTOREID aims to provide a better understanding of the environmental restoration mechanisms...Read More
The training workshop, of Taxonomy and systematics of African pollinating flies which is taking place on1 7th-27th November 2023 officially opened by the guest of Honor Prof. Alex Lewis Malissa who is the Director of the Institute of pest management at Sokoine University of Agriculture. The training which was organized with Institute of Pest Management...Read More
No dead rats, just infertile rats The farmers notice many rats in and around their farms, they look for an expert to advise and provide a solution. The solution could be anything: a new poison that kills rats instantly or slowly, holly water that keeps rats from the field but ultimately doesn’t, a special prayer...Read More
Watafiti kutoka Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu SUA wametoa mafunzo ya udhibiti wa mazalia ya mbu na matumizi sahihi ya vyandarua vyenye dawa katika Kijiji cha Unone wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro. Mafunzo haya yaliyobeba kauli mbiu inayosema “Tumia Chandarua Bora Chenye Dawa Kuzuia Ugonjwa wa Malaria”. Hii ikiwa ni muendelezo wa tafiti zilizoanza...Read More
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete amepongeza Kituo cha Umahiri cha Mashariki na Kusini mwa Afrika cha kudhibiti panya na matumzi yake katika kunusa (ACE IRPM & BTD) kwa kutumia fedha zilizotolewa na Benki hiyo kama ilivyokusudiwa. Mkuu wa Kituo cha Umahiri cha Mashariki na Kusini mwa Afrika...Read More
Mhe. Selemani Jafo akiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Raphael Chibunda pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Taaasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai waharibifu Prof. Abdul Katakweba alitembelea banda la Taaasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai waharibifu (IPM) katika maonesho ya nanenane kanda ya mashariki 2023. Katika banda...Read More
Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibufu SUA (IPM) inashiriki maonesho ya wakulima kanda ya mashariki katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere vilivyopo mkoani Morogoro. Maonesho haya ya wakulima yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula”. Lengo la kauli mbiu hii ni kuhamasisha ushiriki wa vijana na...Read More
Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibufu yashiriki Kumbukizi ya 18 ya Hayati Edward Moringe Sokoine inayofanyika katika viwanja vya michezo Kampasi kuu SUA kuanzia Mei 23 hadi 26. Taasisi imepata nafasi ya kuonyesha teknolojia mbalimbali katika maonesho haya. Katika ushiriki wa Kumbukizi hii Taasisi ya Udhibiti wa Viumbe Hai Waharibifu imepata fursa...Read More