[metaslider id=”4661″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara ya kiutafiti katika Mikoa ya Pwani na kanda kusini ikiwa ni mwendelezo wa ziara za kitafiti ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. Watafiti hao Prof. Apia Massawe na Prof. Loth Mulungu wamesema ziara hii imelenga...Read More
[metaslider id=”4649″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, SUA, wanaendelea na tafiti mbalimbali Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Vijijini, Kata ya Isimani, Kijiji cha Kising’ha. Utafiti unafanyika katika Kituo cha Majaribio ya Kilimo cha Uyole ikiwa ni mwendelezo wa tafiti mbalimbali zinazofanywa na taasisi hii. Udhibiti ulioanzishwa unalenga kupunguza panya waharibifu kwenye mashamba...Read More
[metaslider id=”4631″] Watafiti kutoka Taasisi Ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA wamefanya ziara katika Bandari Ya Kemondo Mkoani Kagera ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kutafuta maendeo ya kufanyia tafiti katika mikoa ya kanda ya ziwa. Watafiti hawa walipokelewa na Afisa wa Bandari ya Kemondo Bw. Titus Majula na kupewa historia fupi ya bandari ya...Read More
[metaslider id=”4611″] Watafiti kutoka Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu SUA na Kituo Cha Umaahili cha Afrika cha Kutafiti Mbinu na Tekinologia za Kudhibiti Panya wamefanya ziara ya kiutafiti katika mikoa ya kanda ya ziwa ili kuangalia na kuidhinisha maeneo mapya ya Utafiti wa matatizo yanayosababishwa na panya. . Watafiti hao Prof. Apia Massawe na...Read More
Mr. Clement Pangapanga dedicated 32 years of service with honour as a senior Laboratory Assistant at Sokoine University of Agriculture You couldn’t stay for a short or long period at the SUA Pest Management Centre without noticing the presence of a slightly thin guy, with receding hair on his head and a beard under the...Read More