[metaslider id=”4598″] Mkurugenzi wa Taasisi ya Kudhibiti Viumbe Hai Waharibifu, Dkt. Ladslaus Mnyone ahamasisha wafanyakazi wa Taasisi na Nchi kwa ujumla kupokea huduma ya chanjo ya Uviko wa 19 kwa moyo mmoja na amani ili kuhakikisha afya njema katika kupambana na kirusi cha uviko wa 19. Ameyasema hayo baada ya kupata chanjo hiyo katika Hospitali...Read More