Wadau kutoka Wizara ya Afya watembelea Taasisi yetu tarehe 16 July 2021. Lengo kuu ni kuendelea kudumisha uhusiano na kushirikiana katika teknolojia ya Panyabuku kwenye kubaini vimelea vya ugonjwa wa Kifua Kikuu. Katika mazungumzo hayo Wizara imeahidi kufuatilia agizo la Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi alilotoa tarehe 26 Februari 2021 alipotembelea mradi wa...Read More