Watafiti wa kituo cha kudhibiti viumbe hai waharibifu (SUA) Prof.Apia Massawe na Prof Loth Mulungu watoa mafunzo ya udhibiti wa panya katika mashamba ya mpunga Kijiji cha Mkula kilichopo wilayani Kilombero mkoani Mororgoro. Mafunzo haya yamehudhuliwa na viongozi mbalimbali wa ngazi ya kijiji cha mkula na wakulima wa mpunga katika bonde la mkula. Mafunzo haya...Read More