Mbali na mtazamo hasi wa jamii hasa ya kitanzania uliopo kwa ndege aina ya Bundi, Kituo Cha Kudhibiti Viumbe Hai Waharifu kimekuja na mtazamo chanya kupitia tafiti zake zinazofanywa dhidi ya ndege aina ya bundi. Bundi ni aina ya ndege ambao upendelea kuwinda wanyama wadogo wadogo kama Panya, wadudu na hata ndege wengineo hasa nyakati...Read More